Kampeni ya ONDOA CCM DAR kuendelea leo 11/02/2012

Ndugu wananchi ratiba ya ONDOA CCM DAR: KESHO JMOS. JIMBO LA KAWE MAENEO YA TEGETA, JIMBO LA KINONDONI MAENEO YA SUNNA NA JIMBO LA TEMEKE MTONI KWA AZIZI ALLY UTAONA BENDERA BARABARANI ZITAKUPELEKA MPAKA KWENYE MKUTANO.

ILA POLICE WALITAKA KULETA HILA JUU YA MKUTANO WA TEGETA KWA KUTUANDIKIA BARUA YA KUAHIRISHA MKUTANO WETU KWA HOJA YA MASHAMBULIO YA KIGAIDI, ILA NIKAONGEA NA RPC WA KINONDONI BWANA KENYELA NA KISHA TUKAFIKIA MUAFAKA AKATUPATIA KIBALI NA KUFUTA ILE BARUA YAO YA AWALI AMABAYO ILITOKEA KWENYE KITUO KIDOGO CHA KAWE.

WATATUUA KWA RISASI ZA MOTO, WATAKUFA KWA PRESHA YA DHAMBI, AHSANTENI MUNGU YUPO UPANDE WETU NA MSIOGOPE.

HENRY J KILEWO

KATIBU (M) KINONDONI

KANDA YA DAR ES SALAAM

 

Advertisements

3 responses

  1. DR SLAA AKIGOMBEA ARUMERU ANASHINDA BILA KAMPENI ILA AMPE HILO JUKUMU JEMBE LINGINE KWANI TUNAAMINI KUWA TUNAMAJEMBE MENGI YAKUTOSHA YANAYOWEZA. ASANTENI KILEWO,MNYIKA,HALIMA,KATIBU BAVICHA,HECHE,SUGU,MBOWE,BAREGU,MALANDO,LEMA,WENJE,KAFULILA JEMBE LETU HATUNA UGOMVI NALO,FELIX MKOSAMALI NI VIJANA WETU SIKU ZA USONI, HAMADI RASHIDI ATAKUJA KWETU NA WATU WAKE NA WALE WOTE 1350 WA TEMEKE,MWISHO KILEWO MWAMBIE DR SLAAA AJE HUKU CHUNYA JIMBO LA LUPA KUJENGA CHADEMA KWANI CCM IMESHINDWA KULETA UMEME LUPA,LAMI CHUNYA MJINI,MAKONGOLOSI,MKWAJUNI,LUPA MJINI HADI KAMBIKATOTO.KWANI TANZANIA BILA CCM INAWEZEKA ASILIMIA 95% YA VIJANA NI MAJEMBE YA CHADEMA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s